Hadits Perwakilan
Jibril mendatangi Rasulullah setiap malam di bulan ramadhan, dan mengajarkan al qur'an kepada beliau
Imamu Nasa’i : 2068أَخْبَرَنَا سُلَيْمَانُ بْنُ دَاوُدَ عَنْ ابْنِ وَهْبٍ قَالَ أَخْبَرَنِي يُونُسُ عَنْ ابْنِ شِهَابٍ عَنْ عُبَيْدِ اللَّهِ بْنِ عَبْدِ اللَّهِ بْنِ عُتْبَةَ أَنَّ عَبْدَ اللَّهِ بْنَ عَبَّاسٍ كَانَ يَقُولُكَانَ رَسُولُ اللَّهِ صَلَّى اللَّهُ عَلَيْهِ وَسَلَّمَ أَجْوَدَ النَّاسِ وَكَانَ أَجْوَدَ مَا يَكُونُ فِي رَمَضَانَ حِينَ يَلْقَاهُ جِبْرِيلُ وَكَانَ جِبْرِيلُ يَلْقَاهُ فِي كُلِّ لَيْلَةٍ مِنْ شَهْرِ رَمَضَانَ فَيُدَارِسُهُ الْقُرْآنَ قَالَ كَانَ رَسُولُ اللَّهِ صَلَّى اللَّهُ عَلَيْهِ وَسَلَّمَ حِينَ يَلْقَاهُ جِبْرِيلُ عَلَيْهِ السَّلَام أَجْوَدَ بِالْخَيْرِ مِنْ الرِّيحِ الْمُرْسَلَةِ
Ametusimulia [Sulaiman bin Dawud] kutoka kwa [Ibn Wahb] alisema; amenisimulia [Yunus] kutoka kwa [Ibn Shihab] kutoka kwa [Ubaidullah bin 'Abdullah bin 'Utbah] kwamba ['Abdullah bin 'Abbas] aliwahi kusema; "Rasulullah shallallahu 'alayhi wasallam alikuwa mwanadamu mkarimu zaidi na angeonekana mkarimu zaidi katika mwezi wa Ramadhani; Jibril alipokutana naye. Jibril alikutana naye kila usiku katika mwezi wa Ramadhani na kumfundisha Qur'an." Ibn Abbas alisema; "Mtume wa Mwenyezi Mungu swallallahu 'alayhi wasallam alipokutana na Jibril - Alaihi Salam - alikuwa mkarimu zaidi katika upande wa wema kuliko upepo unaovuma."